Back
Clear
Show/Hide Additional Details
×
Back
Filters List

Clear
}

Display My

News - Global Publishers

News Image

Majeruhi na mashuhuda wa ajali iliyosababisha vifo vya watu 28 jijini Mbeya wakisimulia jinsi ajali hiyo ilivyotokea.

News Image

Dar es Salaam 8 Juni 2025: Mkurugenzi wa Msama Promotion na Muandaaji wa Tamasha la Msama Promotion Alex Msama ametoa tamko kali akiwataka wale wanaotukana na kuandika matusi mitandaoni kuacha mara moja. Katika mazungumzo yake na wanahabari mapema

News Image

Watu kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha katika ajali mbaya iliyotokea usiku wa kuamkia usiku wa kuamkia leo Juni 8 2025 katika eneo la Mlima Iwambi mkoani Mbeya.Kwa mujibu wa mashuhuda ajali hiyo imehusisha lori lenye namba za usajili T148 CID lilil

News Image

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita inawaamini na inathamini mchango wa viongozi wa dini wa madhehebu yote.Amesema serikali itaendelea kuimarisha ushirikiano kati yake na viongozi hao ili kujenga amani mshikamano na ustawi

News Image

Mrembo maarufu kwenye mitandao ya kijamii Queen Fraison almaarufu kama Bonge la Dada kwa sasa yuko kwenye moto wa kuotea mbali!Kupitia mahojiano mafupi aliyofanya hivi karibuni Queen Fraison amefunguka kuwa kwa sasa hana mpenzi na ndiyo yeye mweny

News Image

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan tarehe 27 Juni 2025 amewasili katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma ambapo alipokelewa kwa heshima ya kitaifa na kukagua gwaride maalum.Baada ya ukaguzi wa gwaride Rais Samia alie

News Image

SIMBA SC inayonolewa na Kocha Mkuu Fadlu Davids raia wa Afrika Kusini ipo katika harakati za kumsajili kipa wa JKT Tanzania Yakoub Seleman katika msimu ujao.Kipa namba moja kwa sasa ndani ya Simba SC ni Moussa Camara. Ni hati safi 19 amekusanya msi

News Image

MARA nyingi inapotokea umejeruhiwa penzini hususan kwa mtu ambaye ulikuwa na malengo naye ni vigumu sana kupenda tena. Ni vigumu sana kumuamini tena mtu wa jinsia tofauti na yako. Wakati mwingine unaamini mtu wa jinsia ya tofauti na yako ni kama muua

News Image

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema miongoni mwa sababu za kuongezeka kwa deni la serikali ni kutokana na fedha ambazo zilikopwa na awamu zilizopita kupokelewa na awamu hii ya sita.Akilihutubia Bunge leo juni 27 Rais Samia amesema Ni vyema t

News Image

Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango ameungana na Watanzania wengine kwa njia ya mtandao kufuatilia hotuba ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ya kuhitimisha rasmi shughuli za Bunge la 12 leo Juni 27 2025.Dk. Mpango yupo jijini Abuja Nigeria ambako anash

News Image

Treni ya kwanza ya mizigo ya reli ya kisasa ya kiwango cha kimataifa (SGR) imewasili leo mchana katika kituo cha Ihumwa jijini Dodoma ikitokea stesheni ya Pugu Dar es Salaam.Treni hiyo ikiwa na mabehewa 10 na kubeba jumla ya tani takribani 700 za

News Image

ROSE Reuben Mkurugenzi wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA) ameweka wazi kuwa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 inawezekana kufanya siasa bila mashambulizi ya kijinsia dhidi ya Wanawake.Juni 27 2025 makao makuu ya TAMWA Dar umef

News Image

Mashindano ya Era of 1000s si tu mashindano ya kawaida bali ni mashindano ambayo yamekuja kwaajili ya kugeuza maisha yako wewe mteja wa Meridianbet. Utageuzaje maisha yako?. Ni kwa kucheza michezo mbalimbali ambayo inapatikana kwenye promosheni hii k