Back
Clear
Show/Hide Additional Details
×
Back
Filters List

Clear
}

Display My

News Image

MOUSA Camara kipa namba moja wa Simba SC anatajwa kuwa kwenye hesabu za kukutana na Thank You ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu Fadlu Davids.Camara ni chaguo la kwanza ndani ya Simba SC ambayo ipo kwenye maandalizi kuelekea mchezo wa

News Image

JONATHAN Sowah mshambuliaji wa Singida Black Stars anatajwa kuwa kwenye mpango wa kutakiwa na Yanga SC inayonolewa na Kocha Mkuu Miloud Hamdi.Sowah alimpa tabu kipa namba moja wa Yanga SC Djigui Diarra kwenye mchezo wa ligi walipokutana Uwanja wa K

News Image

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Akihutubia Mkutano wa Hadhara Wilya ya Meatu Mkoa wa Simiyu leo tarehe 17 Juni 2025.

News Image

Ikiwa ni mshirika wa Golden Matrix Group (NASDAQ: GMGI) Meridianbet kwa mara nyingine tena imeadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wachangia Damu kwa kuendesha kampeni ya kimataifa ya wafanyakazi kuchangia damu kampeni ambayo sasa imekuwa sehemu ya utama

News Image

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 17 Juni 2025 ametembelea majeruhi wa ajali ya gari waliolazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Meatu mkoani Simiyu.Katika ziara hiyo ya kuonesha mshikamano na kuwafariji wal

News Image

Ofa ya kibabe imetua leo hii Meridianbet wanakupa nafasi ya kushinda bonasi kubwa leo endapo utabashiri mtanange wa River Plate vs Urawa Reds kwa chaguo la GG&3+. Ingia kwenye ushindani leo kushindania bonasi hizi.Timu zinaonesha ubabe wa hali y

News Image

Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Camillus Wambura amefanya uhamisho wa Makamanda watatu Waliohamishwa ni Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) George Katabazi ambaye alikuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma amehamishiwa Makao Makuu ya Upelelezi w